Pata taarifa kuu
Namibia - India - Mazingira

Namibia : Kuipa duma wake India

Mataifa ya  Namibia na India, yametiana mkataba utakaoruhuru wanyama pori aina ya duma kuhamishwa kutoka nchini namibia na kulepwa  India.

Duma
Duma © AFP/Roslan Rahman
Matangazo ya kibiashara

Zaidi ya duma wanane wanatarajiwa kusafirishwa mapema mwezi ujao .

Duma hao watapelekwa katika mbuga moja ya wanyama jimboni Madhya Pradesh, ambayo inakisiwa kuwa na mawindo mengi.

Taarifa zaidi zinasema zaidi ya duma 50, baadhi kutoka nchini Africa Kusini, wanatarajiwa kupelekwa India kwa kipindi cha miaka tano ijayo.

Delhi inasema mkataba kati yake na Namibia umezingatia sheria zote za kimataifa.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.