Pata taarifa kuu
MISRI

Wanajeshi 11 wauawa wakizuia mlipuko wa kigaidi

Wanajeshi 11 wa Misri wameuawa wakati wakijaribu kuzuia shambulizi la kigaidi katika mfereji wa Suez Canal.

Mfereji wa suez
Mfereji wa suez AP - ©Maxar Technologies
Matangazo ya kibiashara

Ripoti zaidi zinasema Wanajeshi wengine watano walijeruhiwa katika tukio hilo, Jeshi na nchini humo linasema linaendelea kuwasaka magaidi hao

“Magaidi waliotekeleza tukio hili, tunawasaka katika maeneo ya Sina,” amesema msemaji wa jeshi la Ufaransa.

Tangu mwaka 2018, hali ya usalama imeendelea kuwa mbaya katika eneo la mfereji huo, na rais Abdel Fatah al-Sisi aliagiza wanajeshi kupambana na makundi ya kigaidi.

Mwaka 2019, jeshi liliwauwa watu zaidi ya 500 katika operesheni dhidi ya makundi ya kigaidi.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.