Pata taarifa kuu
DRC-ZIARA-GBAGBO-BEMBA

Gbagbo azuru DRC kumtembelea rafiki yake Jean-Pierre Bemba

Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo yupo nchini DRC kukutana na mwanasiasa wa upinzani Jean-Pierre Bemba na kuhudhuria sherehe ya harusi ya binti yake Bemba.

Aliyekuwa rais wa  DRC  Laurent Gbagbo baada ya kuwasili nyumbani jijini Abidjan Juni 17 2021.
Aliyekuwa rais wa DRC Laurent Gbagbo baada ya kuwasili nyumbani jijini Abidjan Juni 17 2021. © REUTERS - MACLINE HIEN
Matangazo ya kibiashara

Wawili hao walikutana kwenye Mahakama ya ICC walikoshtakiwa na kuwa marafiki wa dhati wakati wakikabiliwa na mashtaka ya uhalifu wa kivita.

Baada ya kuzuiwa kwa miaka 10 Gbagbo alirejea nchini mwake tarehe 17 mwezi Juni baada ya kufutiwa mashtaka na  Mahakama ya ICC na hii ni ziara yake ya kwanza nje ya nchi baada ya kurejea nyumbani.

Gbagbo hivi karibuni alidokeza kuwa alikuwa rafiki wa karibu wa Bemba baada ya pamoja kupatikana na makosa katika Mahakama hiyo ya Kimataufa lakini baadaye wakaachiwa huru baada ya kukata rufaa.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.