Pata taarifa kuu
ETHIOPIA

Ethiopia : Wanajeshi wa Eritrea waanza kuondoka Tigray

Ethiopia inasema wanajeshi wa Eritrea ambao wamekuwa katika jimbo la Tigray, wameanza kuondoka katika eneo hilo ambalo lilishuhudia makabiliano makali kati ya vikosi vya nchi hiyo na vile vya jimbo hilo mwezi Novemba mwaka uliopita.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia Demeke Mekonnen (hapa ilikuwa mwezi Februari 2019) alitangaza Jumamosi Aprili 3 kwamba wanajeshi wa Eritrea wameanza kuondoka Tigray.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia Demeke Mekonnen (hapa ilikuwa mwezi Februari 2019) alitangaza Jumamosi Aprili 3 kwamba wanajeshi wa Eritrea wameanza kuondoka Tigray. AFP - ASHRAF SHAZLY
Matangazo ya kibiashara

vikosi hivyo vya Eritrea kufutia ripoiti kuwa, vimehusikakutekeleza visa vya ukiukwaji wa haki za binadami kama ubakaji, wizi na mauaji ya raia.

Hatua hii pia imleluja baada ya mataifa ya G7 yakiongozwa na Ufaransa, Marekani na Ujerumani kutoka kuondoka haraka kwa wanajeshi wa Eritrea ili kuruhusu mpango wa kisiasa katika jimbo hilo, utakaoleta amani.

Kwa miezi kadhaa, Eritrea na Ethiopia kwa pamoja zilikanusha kuwepo kwa kikosi cha kigeni katika jimbo hilo licha ya kuwepo kwa ripoti za kuonekana kwa wanajeshi wa Eritrea katika himlbo la Tigray.

Mwishoni mwa mwezi Machi, Waziri Mlkuu wa Ethiopia Abiy Ahmled alikiri kuwepo kwa vikosi vuya Eritrea katika jimlbo himo, lakoini mpaka sasa Eritrera yenye hajijawahi kukiri kutuma wanajesi wake katika nchi jirani lakini pia nipekanusha ripoti ya wanajehsi wkae kuhusika na visa vya ukiukwaji wa haki za wakaazi wa jimlbo la Tigray.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.