Pata taarifa kuu
DRC-KOREA KUSINI-UCHAGUZI-SIASA

Korea Kusini yaionya DRC juu ya mashine za kupigia kura

Korea Kusini, siku ya Jumanne ilionya dhidi ya matumizi ya "mashine za kupigia kura" zinazotarajiwa kutumiwa wakati wa uchaguzi unaopangwa kufanyika nchini DRC mwishoni mwa mwaka huu.

Kinshasa, 3 Desemba 2011. Mjumbe wa tume ya Uchaguzi (CENI).
Kinshasa, 3 Desemba 2011. Mjumbe wa tume ya Uchaguzi (CENI). © AFP / Gwenn Dubourthoumieu
Matangazo ya kibiashara

Mashine hizo zimetengenezwa na kampuni moja Huko Korea, huku ikisema kuwa inaogopa Kuwepo matokeo mabaya ya uchaguzi wa Desemba 23 ambao ndio utatatamtisha utawala wa Rais Joseph Kabila.

Kauli Hiyo imetolewa wakati kukiwa na tetesi kuwa kuna uwezekano wa kufanyika Udanganyifu ama wizi wa kura nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa faida ya vyama vinavyomuunga mkono rais Joseph kabila Kabange.

Seoul inaamini kuwa matumizi ya mashine hizi inaweza kusababisha machafuko zaidi nchini humo na kufanya kutoa matokeo yasiyo ya kweli, Taarifa kutoka Ubalozi wa Korea Kusini nchini DRC huko Kinshasa imesema.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.