Pata taarifa kuu
DRC

Ndege ya kijeshi yaanguka yaua 12 DRC

Ndenge ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Antonov 12, imeripotiwa kuanguka jana Jumamosi dakika chache baadda ya kuondoka katika uwanja wa nde nge wa N’Djili huko Kinshasa nchini DRC.

Ndege ya kijeshi ya DRC
Ndege ya kijeshi ya DRC http://www.rfi.fr/afrique
Matangazo ya kibiashara

Kwa mjibu wa kamanda wa uwanja huo wa ndengeGeorge Tabora, ndenge hiyo iliyokuwa ikisafiri kwenda Bukkvu ilionekana kuwa na tatizo la kiufundi baaada ya kuondoka kwake na kupoteza mwaasiliano na Mnara wa kidhibiti.

 

Takwimu zinaonyesha kuwa watu zaidi ya kumi, ikiwa ni pamoja na wageni sita wamepoteza maisha

 

Ndege hiyo ilianguka huko Nsele, karibu kilomita 100 kuelekea mashariki mwa Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kwa mujibu wa serikali ya DRC , Tayari uchunguzi umeanzishwa kubaini chanzo halisi cha ajali hiyo .

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.