Habari RFI-Ki
Chanjo ya malaria kujaribiwa kwa baadhi ya mataifa ya Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 10:11
Makala ya habari rafiki inaangazia siku ya kimataifa ya ugonjwa wa malaria ambapo shirika la afya la kimataifa WHO limetangaza mpango wa kuto achanjo ya majaribo ya kukabiliana na malari abarani Afrika mpango huo utaanza kwa baadhi ya mataifa.