Pata taarifa kuu
MISRI

Wakristo wa Coptic nchini Misri waadhimisha Pasaka chini ya ulinzi mkali

Wakristo duniani hii leo wanaadhimisha sikukuu ya Pasaka huku Wakrito wa madhehebu ya Coptic nchini Misri wakiadhimisha misa ya Paska chini ya ulinzi mkali usiku wa kuamkia leo huku kufuatia mashambulizi mawili katika makanisa hayo ambapo watu kadhaa waliuawa.   

Wakristo wa Coptics wakiwa ibadani  Jumamosi 14 April 2017.
Wakristo wa Coptics wakiwa ibadani Jumamosi 14 April 2017. KHALED DESOUKI / AFP
Matangazo ya kibiashara

Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Marko, ambapo Papa wa kanisa hilo Tawadros II aliongoza misa, waumini walipita mbele ya vifaa vitatu vya ukaguzi wakati polisi na wanajeshi wakisimamia ulinzi katika eneo la ndani na katika mitaa ya nje.

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis katika ujumbe wake wa sikukuu ya Pasaka ameeleza kuguswa na mahangaiko ya wahamiaji, waathirika wa ubaguzi wa rangi na watoto walionyanyaswa kijinsia na viongozi wa kanisa Katoliki.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.