Pata taarifa kuu
GUINEA BISSAU

Kiongozi wa kijeshi anayetuhumiwa kufanya jaribio la kupindua serikali ya Guinea Bissau akamatwa

Kapteni wa jeshi anayekabiliwa kesi ya kujaribu kufanya mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea ya Bissau amekamatwa,taarifa za jeshi la nchi hiyo zimebainisha.

Jamii nchini Guinea ya Bissau imekuwa katika kipindi cha machafuko kwa kipindi kirefu yakisababishwa na mapinduzi ya kijeshi
Jamii nchini Guinea ya Bissau imekuwa katika kipindi cha machafuko kwa kipindi kirefu yakisababishwa na mapinduzi ya kijeshi i4u.com
Matangazo ya kibiashara

Kapteni Pansau N'Tchama anatuhumiwa kusimamia shambulizi la juma lililopita ambalo lilisababisha vifo vya watu 6.

Jeshi nchini humo lilidhibiti serikali katika kipindi cha uchaguzi wa uraisi mnamo mwezi April.

Serikali ya mpito nchini humo ambayo iliteuliwa na jeshi imeituhumu wakoloni wa kireno waliotawala zamani kuhusika na mashambulizi dhidi ya nchi hiyo.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.