rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Israeli Benjamin Netanyahu

Imechapishwa • Imehaririwa

Netanyahu aishtumu polisi kufuatia madai ya ufisadi

media
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akabiliwa na kashfa ya ufisadi. REUTERS/Dan Balilty/Pool

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kupitia ukursa wake wa Facebook amewashtumu wapelelezi katika jeshi la polisi wanaomchunguza kwa madai ya ufisadi.


Netanyahu amesema inashangaza kwa Kamishena wa Polisi anawatumia wachunguzi binafsi yake.

Mapendekezo ya wachunguzi hao wanatarajiwa kuwasilishwa kwa mwanasheria mkuu wa serikali wiki ijayo.

Ripoti zinasema kuwa miongoni mwa mapendekezo hayo ni kutaka Netanyahu kuchunguzwa rasmi kwa madai ya ufisadi, na ubadhirifu.

Serikali imekataa kuzungumzia madai haya.