rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
  • Mahakama ya Katiba yamtangaza IBK mshindi wa uchaguzi wa urais Mali
Wimbi la Siasa
rss itunes

Maandamano ya Nchi ya Iran na amna Mataifa ya Magharibi Yalivyo na Mkono

Na Emmanuel Richard Makundi

Makala ya Wimbi la Siasa Juma Hili Inaangazia Hali ya Kisiasa Nchini Iran Ambayo Kwa Majuma Kadhaa Imeshuhudia Maandamano ya Wananchi Wakipinga Hali Ngumu ya Maisha. Hata Hivyo Juma Hili Pia Wafuasi Wanaoiunga Mkono Serikali Nao Walifanya Maandamano Kuonesha uungaji Mkono Wao Kwa Serikali.

Nini Hatma ya Siasa ya Nchi ya Iran? Ni Kweli Nchi za Magharibi Zina Mkono na Vurugu Zilizoshuhudiwa Iran?

Rais Joseph Kabila kubadilisha Katiba kuwania tena urais ?

Tume ya Uchaguzi nchini DRC CENI yapata mitambo ya kuwatambua wapiga kura

Majaji wa Mahakama ya Juu nchini Kenya kuamua hatima ya ushindi wa Kenyatta

Ziara ya Rais Salva Kiir nchini Sudani na changamoto za mgogoro wa kisiasa

Mahakama Kuu nchini Kenya yataka wagombea urais kushiriki uchaguzi

Kenyatta achaguliwa tena Kenya upinzani wakimbilia mahakamani kupinga matokeo

Tume huru ya Uchaguzi Kenya na mchakato wa kutangaza matokeo

Umoja wa Mataifa waonya hali ya usalama Jamhuri ya Afrika ya Kati

Serikali ya Burundi kugomea mazungumzo na hatima ya nchi