Wimbi la Siasa
Mahakama Kuu nchini Kenya yataka wagombea urais kushiriki uchaguzi
Imechapishwa:
Cheza - 10:13
Hivi karibuni Mahakama Kuu nchini Kenya iliamua wagombea wote wanane wa urais washiriki katika uchaguzi wa marudio unaotarajiwa Oktoba 26 mwaka huu hatua ambayo imeibua maswali lukuki huku Muungano wa Upinzani NASA chini ya kinara wake Raila Odinga ukitangaza kujiondoa katika marudio.Kutokana na hali hiyo Kenya iko njia panda na kujua kwa undani mustakabali wa nchini na sheria zinasema nini? sikiliza Makala haya ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile.