Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kampeni za lala salama zapamba moto nchini Kenya

Imechapishwa:

Kampeni za lala salama nchini Kenya zimepamba moto kuelekea uchaguzi huo Agosti 8 mwaka huu huku wagombea Uhuru Kenyatta wa Chama cha Jubilei na mgombea wa NASA, Raila Odinga wakichuana vikali katika kinyang'anyiro hicho. Je nani atashinda katika uchaguzi huo na kwa nini? Uchambuzi wa kina katika Makala ya Wimbi la Siasa ukiwa naye Victor Robert Wile utakata kiu yako ya kujua mbivu na mbichi kuhusu uchaguzi wa Kenya.

Rais Uhuru Kenya akiwa na mgombea mwenza wake William Ruto, Nakuru hivi karibuni
Rais Uhuru Kenya akiwa na mgombea mwenza wake William Ruto, Nakuru hivi karibuni REUTERS/Baz Ratner
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.