Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Sehemu ya pili ya mahojiano na watu wenye ulemavu wa Wonder Workshop

Imechapishwa:

Juma huli kwenyue makala ya Gurudumu la Uchumi tunakueletea sehemu ya pili ya mahojiano yetu na watu wenye ulemavu wanaofanya sanaa ya utengenezaji vitu kwa kutumia chuma kwenye karakana ya Wonder Workshop ya jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Sehemu ya vitu vya sanaa vinavyotengenezwa kwa kutumia chuma na watu wenye ulemavu kwenye karakana ya wonder workshop, Tanzania
Sehemu ya vitu vya sanaa vinavyotengenezwa kwa kutumia chuma na watu wenye ulemavu kwenye karakana ya wonder workshop, Tanzania RFI/Emmanuel Makundi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.