Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Umoja wa Ulaya ni vikwazo vya kiuchumi kwa Burundi

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inazungumzia kuhusu vikwazo vipya viliyotangazwa na nchi za umoja wa Ulaya kwa taifa la Burundi. Vikwazo hivi vina madhara gani kwa taifa na wananchi wa Burundi? Ungana na mtangazaji wa makala haya na uwasikie wataalamu wa masuala ya uchumi wakichambua.

Manifestation dans les rues de Bujumbura, le 18 février 2017. Depuis deux ans, le pays traverse une crise politique majeure.
Manifestation dans les rues de Bujumbura, le 18 février 2017. Depuis deux ans, le pays traverse une crise politique majeure. AFP/Stringer
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.