Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Seleka na Anti Balaka waafikiana Nairobi Kenya

Imechapishwa:

Mwishoni mwa Juma lililopita, waasi wa Seleka na Anti Balaka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati waliafikiana kusitisha mapigano na kuweka silaha chini.Makubaliano haya yalifikiwa baada ya mazungumzo ya wiki kadhaa jijini Nairobi nchini Kenya, lakini serikali ya Afrika ya Kati inasema haitambui mazungumzo hayo na haikushirikishwa.

Mapigano nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mapigano nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati Laurent Correau / RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.