Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Hali bado tete mashariki mwa DRC wakati akitembelea Beni

Imechapishwa:

Eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC hususan Beni bado likabiliwa na tishio la usalama kufuatia kuibuka kwa mauaji ya mara kwa mara wakati huu Rais wa DRC Joseph Kabila akitembelea eneo hilo. Makala ya Wimbi la Siasa kwa juma hili inaangazia kwa kina hali ya mambo mashariki karibu umakinike na Victor Robert Wile katika makala haya.

Mamia ya wakaazi wa Beni wakiandamana dhidi ya kikosi cha wanajeshi wa Umoja wa Mataifa nchini Congo Monusco, Oktoba 22 mwaka 2014.
Mamia ya wakaazi wa Beni wakiandamana dhidi ya kikosi cha wanajeshi wa Umoja wa Mataifa nchini Congo Monusco, Oktoba 22 mwaka 2014. REUTERS/Kenny Katombe
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.