Pata taarifa kuu
Afrika Kusini

ANC yahamisha kesi ya Malema, baada ya machafuko

Kundi la haki za binaadam limesema kuwa, inaaminika watu themanini na wanane, kumi kati yao watoto wamekufa wakiwa kizuizini, kipindi cha maandamano ya miezi mitano dhidi ya serikali ya Syria.

Julius Malema akiwahutubia wafuasi vijana wa chama tawala cha Afrika Kusini ANC
Julius Malema akiwahutubia wafuasi vijana wa chama tawala cha Afrika Kusini ANC Reuters
Matangazo ya kibiashara

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadam, Amnesty International limesema watoto wenye umri wa miaka kumi na mitatu walipoteza maisha huku ikiripotiwa kuwa miaka ya karibuni kuwepo kwa vifo vya takriban watu watano wanaoshikiliwa kila mwaka.
Ripoti ya Amnesty International inasema watu waliopoteza maisha walikamatwa baada ya maandamano makubwa yaliyoanza mwezi Machi na kushikiliwa kwa kuwa walikuwa wakishukiwa kuhusika katika maandamano.
Wakati hayo yakijiri, takriban watu saba wameuawa na vikosi vya usalama vya Syria, akiwemo mtoto mwenye umri wa miaka kumi na mitatu huku maelfu ya waandamanaji walitoka nje ya misikiti na kuandamana kutembelea makaburi na kuwaombea wafu wakiadhimisha kuanza kwa sherehe za Eid el Fitr.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.