rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Imechapishwa • Imehaririwa

Mwili wa Robert Mugabe wasafirishwa kutoka Singapore kwenda Zimbabwe

Mwili wa rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe umeondoka Singapore mapema leo Jumatano asubuhi kwenda nchini Zimbabwe ambapo atazikwa baaada ya maombolezo ya kitaifa, mpwa wake Adam Molai ametangaza.