Jukwaa la Michezo
Ligi kuu ya soka nchini Kenya yakabiliwa na changamoto za fedha
Imechapishwa:
Cheza - 21:42
Ligi kuu ya soka nchini Kenya, inakabiliwa na changamoto za kifedha, baada ya mfadhili mkuu SportPesa kujiondoa.Hali hii imesababisha baadhi ya klabu kushindwa kuwalipa wachezaji wake mishahara. Changamoto hii inaweza kutatuliwa vipi ? Ungana na Fredrick Nwaka na wageni wetu.