Jukwaa la Michezo
Tanzania Bara yanyakua taji la michuano ya vijana ya Cecafa nchini Uganda
Imechapishwa:
Cheza - 23:50
Michuano ya Cecafa kwa vijana chini ya miaka 20 imetamatika nchini Uganda kwa tanzania Bara kushinda ubingwa huo kwa kuitandika Kenya bao 1-0. Hata hivyo mashindano hayo yamegubikwa na madai ya udanganyifu wa umri wa wachezaji na vilevile ushiriki hafifu wa baadhi ya nchi. Nini hatima ya soka la vijana baada ya mashindano haya? Fredrick Nwaka ameungana na mchambuzi wa soka Samwel John na Naibu rais wa shirikisho la kandanda nchini Kenya FKF Doris Petra kutathimini kwa kina.