
Umuhimu wa kuinua soka la wanawake katika ukanda wa Cecafa
Michuano ya klabu bingwa Afrika imeendelea mwishoni mwa juma huku Gor Mahia, Yanga na KCCA zikiondolewa katika michuano ya klabu bingwa Afrika na mashindano ya riadha ya Doha Marathon yakumbwa na changamoto ya joto kali. Tunajadali haya katika jukwaa la michezo. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa michezo Aloyce Mchunga na Bonface Osano