
Umuhimu wa kuinua soka la wanawake katika ukanda wa Cecafa
Mashindano ya All Africa Games yanatazamiwa kuanza Jumatatu Agosti 19 mwaka 2019 huko Rabat nchini Moroco yakishirikisha wanamichezo mbalimbali ikiwemo riadha. Tunaangazia maandalizi ya mataifa ya Afrika mashariki kuelekea mashindano hayo. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na Emanual Makundi sambamba na katibu mkuu wa Shirikisho la riadha Tanzania Wilhelm Gidabuday na Rick Ogola ambaye ni mwandishi wa spoti wa kituo cha KBC cha Kenya.