rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Ufaransa Real Madrid Lyon

Imechapishwa • Imehaririwa

Ferland Mendy: Nina furaha kujiunga Real Madrid

media
Mchezaji mpya wa Real Madrid, Ferland Mendy GETTY IMAGE

Beki wa Klabu ya Olympique Lyon Ferland Mendy ameeleza furaha yake baada ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na miamba ya soka nchini Hispania.


Miaka 15 iliyopita mchezaji huyo mwenye miaka 24 amesajiliwa kwa mkataba wa miaka sita na anasema kuna wakati hakuamini ikiwa ndoto hiyo itafanikiwa baada ya miaka tisa iliyopita kufanyiwa upasuaji wa nyonga.

Mendy anaungana na wachezaji wengine mashuhuri waliosajiliwa na Real Madrid akiwemo Eden Hazardm Eder Militao na Luka Jovic.