rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Tanzania Rwanda

Imechapishwa • Imehaririwa

Tanzania na Rwanda zaanza vyema michuano ya kriketi nchini Rwanda

media
Wachezaji wa timu ya kriketi ya Rwanda The New Times/Rwanda

Timu za Rwanda na Tanzania chini ya miaka 20 zimeanza vyema michuano ya kriketi ya Kwibuuka baada ya kupata ushindi dhidi ya Rwanda na Uganda.


Mashindano hayo maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari yanafanyika katika viwanja vya Gahanga.

Jumatano Rwanda itachuana na uganda wakati Tanzania itapambana na Mali.

Tanzania iliishinda Uganda kwa mikimbio 53 kwa 36 huku mchezaji Monica Pascal akiongoza kwa mikimbio mingi na Rwanda iliishinda Mali kwa mikimbio 116

Mashindano hayo yanatazamiwa kufikia tamati jumapili.