Pata taarifa kuu
TANZANIA-AFRIKA-SOKA

Afrika U-17: Timu nne kusaka tiketi ya nusu fainali

Mechi za nusu fainali kuwania taji la bara Afrika kwa wachezaji wasiozidi miaka 17, zitachezwa siku ya Jumatano wiki hii. Timu nne zitashiriki michuano hiyo ikiwa ni pamoja na Nigeria, Guinea, Angola na Cameroon.

imu ya taifa ya Nigeria ya vijana walio na umri chini ya 17, Eaglets Golden, Tanzania.
imu ya taifa ya Nigeria ya vijana walio na umri chini ya 17, Eaglets Golden, Tanzania. News Agency of Nigeria (NAN)
Matangazo ya kibiashara

Mechi zote zitachezwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam nchini Tanzania.

Nigeria watakuwa wa kwanza, kumenyana na Guinea kuanzia saa 10 jioni lakini baadaye Cameroon watamenyana na Angola kuanzia saa moja na nusu.

Fainali itachezwa siku ya Jumapili.

Mataifa haya manne, Nigeria, Guinea, Cameroon na Angola, zote zimefuzu katika fainali ya kombe la dunia kwa vijana utakayofanyika mwezi Oktoba nchini Brazili.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.