
Umuhimu wa kuinua soka la wanawake katika ukanda wa Cecafa
Makala ya tatu ya michuano ya Sports pesa imekamilika jana jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kushuhudia klabu kutoka Kenya ya KarioBang Sharks ikitwaa ubingwa kwa kuifunga Bandari pia ya Kenya kwa bao 1-0. Je, michuano hii inaonyesha tofauti ya Ligi ya Tanzania na Kenya? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Cassian Mbunda, Aloyce Mchunga na Bonface Osano kutathimini kwa kina.