CAF yatangaza orodha ya wanamichezoi watakaowania tuzo, 2018
Shirikisho la kandanda barani Afrika CAF limetangaza orodha ya wanamichezo watakaowania tuzo kwa mwaka 2018.
Imechapishwa:
Tuzo hizo zinatazamiwa kutolewa mapema mwakani na zimegawanywa katika vipengele mbalimbali, ikiwemo mchezaji bora wa kiume, mwanasoka bora wa kike, kocha bora wa kiume na mwanamke na vilevile tuzo ya mchezaji bora chipukizi.
Orodha kamili ni kama ifuatavyo.
Timu bora ya wanawake Afrika
Cameroon
Ghana
Mali
Afrika Kusini
Nigeria
Timu bora ya wanaume
Guinea Bissau
Kenya
Madagascar
Mauritania
Uganda
Zimbabwe
Kocha bora wa wanawake
Bruce Mwape wa Zambia
Joseph Ndoko wa cameroon
Desiree Ellis wa Afrika Kusini
Saloum Houssein wa Mali
Thomas Dennerby wa Nigeria
Kocha bora wa mwaka kwa upande wa wanaume
Florent Ibenge wa AS Vita na DRC
Herve Renard wa Morocco
Alliou Cisse wa Senegal
Gernot Rohr wa Nigeria
Richard Tousi wa ES Setif
Patrice Cartelony wa Al Ahly
Nicolasu Dupius wa Madagascar
Mouine Chaban wa Esperance
Juan Carlos Garrido wa Raja Club Athletic
Corentin Martins wa Mauritania
Mchezaji bora kijana wa mwaka 2018
Achraf Hakimi (Morocco & Borussia Dortmunmd)
Wilfred Ndidi (Nigeria & Leicester City)
Andre Onana (Cameroon & Aax)
Ismaila Sarr (Senegal & Rennes)
Mahmoud Benhalib (Morocco & Raja Club Athletic)
Franck Kessie (Cote d’Ivoire & AC Milan)
Tuzo ya mchezaji bora kwa upande wa wanawake
Abdulai Mukarama(Ghana& Northern Ladies)
Asisat Oshoala (Nigeria& Dilian Quanjian)
Bassira Toure (Mali & AS Mande)
Chrestinah Thembi Kgatlana(South Africa& Houston Dash)
Desire Oparanozia(Nigeria& Guingamp)
Elizabeth Addo(Ghana& Seattle Reign)
Francisca Ordega (Nigeria&Washington Spirit)
Gabrielle Aboudi Onguene(Cameroon& CSKA Moskow)
Gaelle Enganamouit (Cameroon& Avaldenes)
Janine Van Wyk (South Africa& Houston Dash
Marlyse Ngo Ndoumbouk (Cameroon& Nancy-Lorraine)
Onome Ebi(Nigeria& Hekan Huisanhang)
Portia Boakye(Ghana& Djurgardens)
Raissa Feudjio (Cameroon& Aland United)
Tabitha Chawinga(Malawi& Jiangsu Suning)
Tuzo ya mchezaji bora kwa upande wa wanaume
Abdelmoumene Djabou (Algeria & ES Setif)
Ahmed Gomaa (Egypt & El Masry)
Ahmed Musa (Nigeria & Al-Nassr )
Alex Iwobi (Nigeria & Arsenal)
Andre Onana (Cameroon & Ajax)
Anis Badri (Tunisia & Esperance)
Ayoub El Kaabi (Morocco & Hebei China Fortune)
Ben Malango (DR Congo & TP Mazembe)
Denis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns)
Fanev Andriatsima (Madagascar & Clermont Foot)
Franck Kom (Cameroon & Esperance)
Jacinto Muondo Dala ‘Gelson’
(Angola & Primeiro de Agosto)
Hakim Ziyech (Morocco & Ajax)
Idrissa Gueye (Senegal & Everton)
Ismail Haddad (Morocco & Wydad Athletic Club)
Jea-Marc Makusu Mundele (DR Congo & AS Vita)
Kalidou Koulibaly (Senegal & Napoli)
Mahmoud Benhalib (Morocco & Raja Club Athletic)
Mehdi Benatia (Morocco & Juventus)
Mohamed Salah (Egypt & Liverpool)
Moussa Marega (Mali & Porto)
Naby Keita (Guinea & Liverpool)
Odion Ighalo (Nigeria & Changchun Yatai, Nigeria)
Percy Tau (Afrika Kusini & Union Saint-Gilloise)
Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Arsenal)
Riyad Mahrez (Algeria & Manchester City)
Sadio Mane (Senegal & Liverpool)
Taha Khenissi (Tunisia & Esperance)
Thomas Partey (Ghana & Atletico Madrid)
Wahbi Khazri (Tunisia & Saint-Étienne)
Walid Soliman (Egypt & Ahly)
Wilfried Zaha (Cote d’Ivoire & Crystal Palace)
Yacine Brahimi (Algeria & Porto)
Youcef Belaili (Algeria & Esperance)