Pata taarifa kuu
KOREA KUSINI-KOREA KASKAZINI-MICHEZO

Korea Kusini na Kaskazini zakubaliana kuandaa michuano ya Olimpiki ya mwaka 2032

Nchi za Korea Kusini na Korea Kaskazini zimekubaliana kutuma ombi la pamoja la kuandaa michuano ya Olimpiki ya mwaka 2032.

Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in (kushoto) na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, Jumatano, Septemba 19, 2018 Pyongyang.
Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in (kushoto) na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, Jumatano, Septemba 19, 2018 Pyongyang. Pyeongyang Press Corps/Pool via REUTERS
Matangazo ya kibiashara

Hatua hiyo imefikiwa baada ya mkutano wa pamoja baina ya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un na rais wa Korea Kusini Moon Jae In.

Mataifa hayo mawili kwa pamoja yaliandaa mashindano ya Asia, ikiwa ni ishara ya kuimarisha uhusiano baina yao.

Hata hivyo ombi la Korea Kaskazini na Kusini linatazamiwa kupata upinzani kutoka kwa mataifa ya Australia, China na Indonesia ambayo pia yananuia kuandaa mashindano hayo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.