rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Kombe la Kagame CECAFA

Imechapishwa • Imehaririwa

Robo fainali ya Kagame Cup kuunza kuunguruma leo, Dar

media
Katibu Mkuu wa Cecafa, Nicholaus Musonye ambaye ni msimamizi mkuu wa michuano ya Kagame The Standard

Hatua ya robo fainali ya Kombe la Kagame inaanza leo kwa michezo miwili kuchezwa.


Mchezo wa kwanza utawakutanisha mabingwa wa Kenya Gor Mahia ambao watachuana na mabingwa wa Uganda Vipers saa kumi kwa saa za Afrika mashariki.

Robo fainali ya pili itakuwa baina ya Simba ya Tanzania dhidi ya AS Sports ya Djibout.

Michuano hiyo itafiki tamati Julai 13 kwa mchezo wa fainali ambapo bingwa atazawadiwa dola 30,000 zinazotolewa na mdhamini wa michuano hiyo na rais wa Rwanda, Paul Kagame.