rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Tour de France

Imechapishwa • Imehaririwa

Chris Froome aachwa nyuma mzunguko wa kwanza, Tour de France

media
Mwendesha baiskeli wa timu ya Sky Chris Froome baada ya kupata ajali katika mbio za baiskeli za Tour de France REUTERS

Mzunguko wa kwanza ya michuano ya baiskeli ya Tour de France imekamilika kwa waendesha baiskeli wazoefu kupata matokeo ya kushangaza akiwemoi mshindi mara nne Chris Froome kuachwa nyuma.


Mwendesha baiskeli mwingine aliyetarajiwa kufanya vizuri katika mzunguko wa kwanza ni Mcolombia Fernando Gaviria ambaye hata hivyo hakufua dafu.

“Mimi ni mchezaji wa kwanza kutoka Colombia kuvaa jezi namba 15,”amesema Gaviria ambaye anashiriki michuano hiyo kwa mara ya kwanza.

Mzunguko wa pili unatazamiwa kuanza leo na hii ikiwa ni makal ya 105 ya Tour de France