rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Ujerumani Brazili Kombe la Dunia Urusi 2018 FIFA

Imechapishwa • Imehaririwa

Ujerumani yaongoza dunia katika viwango vya ubora

media
Timu ya taifa ya Soka ya Ujerumani. REUTERS/Jorge Silva

Shirikisho la soka duniani, FIFA, limetangaza viwango vya ubora kuelekea kombe la dunia wiki ijayo nchini Urusi. Ujerumani inaendelea kuongoza dunia, ikifuatwa na Brazil.


Ubelgiji ipo katika nafasi ya tatu, Ureno ya nne huku Argentina ikifika tano bora.

Barani Afrika, Tunisia ni ya kwanza lakini ya 21 dunia. Senegal ni ya pili Afrika, huku DRC ikiwa ya tatu na ya 38 duniani.

Uganda ni ya 82 duniani baada ya kushuka nafasi nane, huku Kenya ikiwa ya 112 duniani.

Rwanda 136, Tanzania 140, Burundi 148.