rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Nigeria DRC Kombe la Dunia Urusi 2018

Imechapishwa • Imehaririwa

Nigeria kumenyana na DRC, katika mechi ya kirafiki

media
Kikosi cha timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles. Reuters/Peter Cziborra

Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, inachuana na Nigeria siku ya Jumatatu katika mchuano wa Kimataifa wa kirafiki mjini Port Harcourt.


Mchuano huu unatarajiwa kuisaidia Nigeria katika maandalizi yake ya kucheza katika fainali ya kombe la dunia nchini Urusi mwezi Juni.

Nigeria imepangwa katika kundi D na Argentina, Iceland na Croatia.

Leopard, inawakilishwa na wachezaji 23 wakiwemo saba, wanaocheza soka ya kulipwa nje ya nchi hiyo.

Mechi nyingine ya Kimataifa ya kirafiki ni kati:-

Kenya vs Equitorial Guinea

Ureno vs Tunisia

Ufaransa vs Jamhuri ya Ireland

Uturuki vs Iran

Italia vs Saudi Arabia