Pata taarifa kuu
TOTTENHAM-SOKA

Pochettino kuendelea kuinoa Tottenham

Meneja wa klabu ya Tottenham Hotspurs Mauricio Pochettino amesaini mkataba wa miaka mitano zaidi kuendelea kuifundisha timu hiyo.

Kikosi cha Tottenham.
Kikosi cha Tottenham. Reuters / Andrew Couldridge
Matangazo ya kibiashara

Kwa mujibu wa mkkataba huo Pochettino atakuwa meneja wa Spurs hadi mwaka 2023.

Pochettino alijiunga naSpurs mwaka 2014 na ameiwezesha timu hiyo kumaliza katika nafasi ya tatu katika misimu mitatu mfululizo ya Ligi Kuu ya England.

Daniel Levy mwenyekiti wa Spurs amesema klabu hiyo ina furaha kwa kusaini mkataba mpya na Pochettino.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.