rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Kombe la Dunia Urusi 2018 Urusi FIFA

Imechapishwa • Imehaririwa

Ufahamu Uwanja wa Kazan Arena

media
Uwanja wa Kazan Arena FIFA.COM

Kazan Arena

Uwanja huu umejengwa katika Jiji la Kazan lenye wakazi milioni 1.2 na una uwezo wa kuchukua watazamaji 45,000 kwa wakati mmoja.


Ufaransa na Australia zitacheza kagtika Uwanja huu Juni 16, Iran na Hispania Juni 20,Poland na Colombia Juni 24 na Korea Kusini na Ujerumani Juni 27.

Uwanja huu pia utaandaa mechi sita ikiwemo moja ya hatua ya 16 bora na moja ya robo fainali.