rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Kombe la Dunia Urusi 2018 FIFA Urusi

Imechapishwa • Imehaririwa

Ufahamu uwanja wa Rostov Arena

media
Uwanja wa Rostov Arena FIFA.COM

Rostov Arena

Mechi nne za hatua ya makundi na moja ya hatua ya 16 bora zitachezwa kwenye uwanja huu.


Uwanja huu umejengwa pembezoni mwa Mto Don na utatumiwa na klabu ya Rostov baada ya kukamilika kwa fainali za kombe la dunia.

Mabingwa mara tano wa kombe la Dunia, Brazil wataanza kampeni ya kuwania taji katika Uwanja huu kwa kuchuana na Uswisi, Juni 17 katika Uwanja wa Rostov Arena. Ufruguay na Saudi Arabia zitavaaana Juni 20 katika Uwanja huu, mechi nyingine ni baina ya Korea Kusini na Mexico Juni 23 na Iceland na Croatia Juni 2 6.