Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Timu za Afrika Mashariki na Kati zitafanikiwa kucheza fainali ya vijana wasiozidi miaka 20 mwakani ?

Imechapishwa:

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo tunaangazia michuano ya soka kufuzu fainali ya vijana kwa wachezaji wasiozidi miaka 20, ziara ya klabu ya Barcelona nchini Afrika Kusini na mashindano ya riadha jijini London na Boston nchini Marekani.  

Timu ya taifa ya viaja ya Ghana inayoshiriki katika michuano ya kufuzu kucheza fainali ya Afrika chini ya miaka 20
Timu ya taifa ya viaja ya Ghana inayoshiriki katika michuano ya kufuzu kucheza fainali ya Afrika chini ya miaka 20 www.cafonline.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.