rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Kombe la Dunia Urusi 2018 FIFA Urusi

Imechapishwa • Imehaririwa

Fahamu kuhusu Uwanja wa Kaliningrad, wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 35,000

media
Uwanja wa Kaliningrad, uliopo katika Mji wa Kalinigrad FIFA.COM

Kaliningrad Stadium

Uwanja hu ulijengwa Oktoba katika Mji wa Kalinigrad.


Uwanja huu utaandaa mechi nne katika fainali za Kombe la dunia mwaka huu. Mchezo wa kwanza utakuwa baina ya Nigeria na Croatia Juni 16, England na Ubelgiji zitavaana katika Uwanja huu Juni 28, Juni 25 Hispania na Morocco na mchezo mwingine ni ule wa Serbia na Uswisi utakaochezwa Juni, 22.

Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watazamaji 35,000 elfu.

Baada ya kukamilika kwa fainali za Kombe la dunia, uwanja huu utatumiwa na klabu ya FC Baltika