rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Kombe la Dunia Urusi 2018 Urusi FIFA

Imechapishwa • Imehaririwa

Ekaterinburg Arena, utakaoandaa mechi za hatua ya makundi

media
Uwanja wa Ekaterinburg Arena FIFA.COM

Ekaterinburg Arena. Uwanja huu upo katika Jiji la Ekaterinburg lenye wakazi milioni 1.4.


Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watazamaji 35,000 elfu.

Uwanja huu utaandaa mechi nne za hatua ya makundi na umefanyika marekebisho makubwa kabla ya kuanza kwa fainali hizo.

Misri na Uruguay Juni 15, Ufaransa na Peru Juni 21, Japan na Senegal Juni 24 na Mexico na Sweden Juni 27.