Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Uganda yafanya vibaya katika mashindano ya CHAN

Imechapishwa:

Uganda kwa mara nyingine, imefanya vibaya katika mashindano ya CHAN inayoendelea nchini Morocco. Aliyewahi kuwa Naibu kocha wa timu ya taifa ya Uganda Cranes Jackson Mayanja amesema, Shirikisho la soka nchini lilifanya kosa kwa kumpa kocha mpya kikosi hicho wiki moja kuelekea michuano hii.

Timu ya taifa ya Nigeria baada ya kufuzu katika hatua ya nusu fainali michuano ya CHAN 2018
Timu ya taifa ya Nigeria baada ya kufuzu katika hatua ya nusu fainali michuano ya CHAN 2018 http://www.cafonline.com/
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.