Pata taarifa kuu
CAF-SOKA

CAF yataja majina ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora mwaka 2017

Shirikisho la soka barani Afrika, limetangaza orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika mwaka 2017.

Nembo ya Shirikisho la soka barani Afrika CAF
Nembo ya Shirikisho la soka barani Afrika CAF http://www.cafonline.com/
Matangazo ya kibiashara

CAF imetoa orodha ya wachezaji 30 wanaocheza soka nje ya bara la Afrika na wengine 30, wanaocheza soka barani Afrika.

Mshindi atangazwa tarehe 4 mwezi Januri mwaka 2018 jijini Accra nchini Ghana baada ya kupigiwa kura na makocha kutoka barani Afrika na wanahabari za michezo.

Mwaka 2016, Riyad Mahrez kutoka Algeria akiichezea klabu ya Leicester City aliibuka mchezaji bora, akifuatwa na Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Gabon anayechezea klabu ya Borrusia Dortmund na Sadio Mane anayeichezea Liverpool raia wa Senegal.

Orodha ya wachezaji wanaocheza nje ya bara la Afrika.

1. Ali Maaloul (Tunisia & Al Ahly)

2. Bertrand Traore (Burkina Faso & Lyon)

3. Cedric Bakambu (DR Congo & Villareal)

4. Christian Atsu (Ghana & Newcastle)

5. Christian Bassogog (Cameroon & Henan Jianye)

6. Denis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns)

7. Eric Bailly (Cote d’Ivoire & Manchester United)

8. Essam El Hadary (Misri & Al Taawoun)

9. Fabrice Ondoa (Cameroon & Sevilla)

10. Fackson Kapumbu (Zambia & Zesco)

11. Jean Michel Seri (Cote d’Ivoire & Nice)

12. Junior Kabananga (DR Congo & Astana)

13. Karim El Ahmadi (Morocco & Feyenoord)

14. Keita Balde (Senegal & Monaco)

15. Khalid Boutaib (Morocco & Yeni Malatyaspor)

16. Mbwana Samata (Tanzania & Genk)

17. Michael Olunga (Kenya & Girona)

18. Mohamed Salah (Misri & Liverpool)

19. Moussa Marega (Mali & Porto)

20. Naby Keita (Guinea & RB Leipzig)

21. Percy Tau (Afrika Kusini & Mamelodi Sundowns)

22. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)

23. Sadio Mane (Senegal & Liverpool)

24. Thomas Partey (Ghana & Atletico Madrid)

25. Victor Moses (Nigeria & Chelsea)

26. Vincent Aboubakar (Cameroon & Porto)

27. William Troost-Ekong (Nigeria & Bursaspor)

28. Yacine Brahimi (Algeria & Porto)

29. Youssef Msakni (Tunisia & Al Duhail)

30. Yves Bissouma (Mali & Lille)

Orodha ya wachezaji wanaocheza soka barani Afrika

1. Achraf Bencharki (Morocco & Wydad Athletic Club)

2. Ahmed Fathi (Misri & Al Ahly)

3. Alkhaly Bangoura (Guinea & Etoile du Sahel)

4. Ali Maaloul (Tunisia & Al Ahly)

5. Aristide Bance (Burkina Faso & Al Masry)

6. Ayman Majid (Morocco & FUS Rabat)

7. Aymen Mathlouthi (Tunisia & Etoile du Sahel)

8. Ben Malango (DR Congo & TP Mazembe)

9. Dean Furman (Afrika Kusini & Supersport United)

10. Denis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns)

11. Elsamani Saadeldin (Sudan & Al Merreikh)

12. Fackson Kapumbu (Zambia & Zesco)

13. Fawzi Chaouchi (Algeria & MC Alger)

14. Geoffrey Serunkuma (Uganda & KCCA)

15. Jeremy Brockie (New Zealand & Supersport)

16. Junior Ajayi (Nigeria & Al Ahly)

17. Karim Aouadhi (Tunisia & CS Sfaxien)

18. Mohamed Meftah (Algeria & USM Alger)

19. Mohamed Ounnajem (Morocco & Wydad Athletic Club)

20. Muaid Ellafi (Libya & Ahly Tripoli)

21. Nasr Eldin Ahmed (Sudan & Hilal Obeid)

22. Oussama Darfalou (Algeria & USM Alger)

23. Percy Tau (Afrika Kusini & Mamelodi Sundowns)

24. Sabelo Ndzinisa (Swaziland & Mbabane Swallows)

25. Saber Khalifa (Tunisia & Club Africain)

26. Saladin Said (Ethiopia & Saint George)

27. Sylvain Gbohouo (Cote d’Ivoire & TP Mazembe)

28. Tady Etekiama (DR Congo & AS Vita)

29. Taha Yassine Khenissi (Tunisia & Esperance)

30. Tarek Hamed (Misri & Zamalek)

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.