Jukwaa la Michezo
CAF yaongeza idadi za timu zitakazoshiriki fainali za AFCON
Imechapishwa:
Cheza - 25:15
Kuanzia mwaka 2019, michuano ya soka barani Afrika AFCON, itashirikisha mataufa 24 kutoka 16 na michuano hiyo itachezwa kati ya mwezi Juni na Julai. Ratiba ya michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika pia imebadilishwa. Tunajadili hili kwa kina.