Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Droo ya hatua ya nusu fainali kuwania taji la UEFA na EURO

Imechapishwa:

Shirikisho la soka barani Ulaya, limetangaza droo ya hatua ya nusu fainali kuwania taji la klabu bingwa na ligi ya Europa  barani Ulaya.Tunachambua pia michuano ya Shirikisho barani Afrika na matukio mengine muhimu barani Afrika na kwingineko duniani.

The UEFA Champions League logo
The UEFA Champions League logo REUTERS/Jean Pierre Amet
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.