rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

New Zealand

Imechapishwa • Imehaririwa

Richie Mc Caw atangaza kuustaafu

media
Wachezaji bora wawili duniani kila mmoja ampngeza mwenziye. Thierry Dusautoir amkabidhi tuzo Richie Mc Caw. RFI/Pierre René-Worms

Nahodha wa timu ya taifa ya New Zealand ya mchezo wa Raga Richie Mc Caw ametangaza kustaafu kuicheza timu yake.


Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 amestaafu baada ya kucheza mechi 148 na kuongoza ushindi katika mechi 131.

Atakakumbukwa na wapenzi wa mchezo huu nchini mwake kwa kuingoza All Black mwezi uliopota kwa mara nyingine kushinda kombe la dunia wakati michuano hiyo ilipofanyika nchini Uingereza.