Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya COSAFA yaanza Afrika Kusini

Imechapishwa:

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo pamoja na mambo mengine kama ligi kuu ya soka nchini Uganda, tunaangazia kuanza kwa michuano ya soka ya  COSAFA baina ya Mataifa ya Kusini mwa Afrika hususan tunaigusia Tanzania ambayo imealikwa katika michuano hiyo huko Afrika Kusini. 

Timu ya taifa ya Tanzania
Timu ya taifa ya Tanzania
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.