Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Maandalizi ya michuano ya soka barani Afrika 2015

Imechapishwa:

Maandalizi ya  michuano ya soka baina ya  mataifa bingwa barani Afrika imeanza katika nchi mbalimbali barani Afrika.Mataifa 16 tayari yameshataja vikosi vyao vya wachezaji 23 tayari kwa michuano hiyo inayoanza tarehe 17 mwezi Januari nchini Equitorial Guinea.  

Uwanja wa Estadio de Bata nchini Equitorial Guinea
Uwanja wa Estadio de Bata nchini Equitorial Guinea
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.