Pata taarifa kuu
SOKA-MICHUANO YA KLABU BINGWA UEFA

Droo ya UEFA yatolewa

Juma hili, droo ya michuano ya makundi ya kuwania taji la soka la klabu bingwa barani Ulaya UEFA ilitolewa alhamisi wiki hii.

Rais wa Shrikisho la Soka Ulaya, Michel Platini (kulia) na katibu mkuu wa UEFA, Gianni Infantino.
Rais wa Shrikisho la Soka Ulaya, Michel Platini (kulia) na katibu mkuu wa UEFA, Gianni Infantino. REUTERS/Valentin Flauraud
Matangazo ya kibiashara

Mabingwa watetezi Real Madrid kutoka Uhispania wamepangwa katika kundi moja na mabingwa wa zamani Liverpool kutoka nchini Uingereza.

Bayern Munich ya Ujerumani imepanngwa pamoja na Manchester city ya Uingereza kwa mwaka wa pili mfululizo, huku Chelsea ya Uingereza, Schalke 04 wakiwekwa pamoja.

Arsenal FC ya Uingereza wao wapo pamoja na Borrusia Dortmund ya Ujerumani pamoja na Galatasary ya Uturuki.

Barcelona ya Uhispania wao wamejumuishwa pamoja na Paris St Gemain ya Ufaransa, Ajax Amsterdam ya Uholanzi na APOEL Nicosia ya Cyprus.

Michuano hii ya makundi itaanza tarehe 16 mwezi ujao wa Septemba na mechi zote zitachezwa nyumbani na ugenini.

Group A: Atletico Madrid (Spain) Juventus (Italy) Olympiakos Piraeus (Greece) Malmo (Sweden)

Group B: Real Madrid (Spain) Basel (Switzerland) Liverpool (England) Ludogorets (Bulgaria)

Group C: Benfica (Portugal) Zenit St Petersburg (Russia) Bayer Leverkusen (Germany) Monaco (France)

Group D: Arsenal (England) Borussia Dortmund (Germany) Galatasaray (Turkey) Anderlecht (Belgium)

Group E: Bayern Munich (Germany) Manchester City (England) CSKA Moscow (Russia) AS Roma (Italy)

Group F: Barcelona (Spain) Paris St Germain (France) Ajax Amsterdam (Netherlands) APOEL Nicosia (Cyprus)

Group G: Chelsea (England) Schalke 04 (Germany) Sporting Lisbon (Portugal) Maribor (Slovenia)

Group H: Porto (Portugal) Shakhtar Donetsk (Ukraine) Athletic Bilbao (Spain) BATE Borisov (Belarus).

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.