rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Gurudumu la Uchumi rss itunes

emission_image
Emmanuel Makundi, Mtangazaji na mtayarishaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .

Nyaraka

Uchumi wa Nigeria baada ya kuchaguliwa tena kwa rais Buhari

Mkutano wa Davos na ombwe kati ya walionacho na wasionacho

Mzozo kuhusu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya