rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Uganda EAC

Imechapishwa • Imehaririwa

Serikali za nchi za Afrika zakubaliana kuwalinda Sokwe

media
Из-за деятельности человека на Земле уничтожено 60% видов животных REUTERS/Henry Nicholls

Serikali za Afrika zimehimizwa kulinda wanyama wa jamii ya sokwe kutokana na umuhimu wao kwa uchumi, utafiti wa kimatibabu ya binadamu na mazingira. Kulingana na shirika la African Primatological Society ambayo imefanya mkutano wake wa pili wa kila mwaka hapa Entebbe -Uganda, wanyama hawa wengi huuawa kila mwaka kwenye bara la Afrika kwa sababu ya kimila, kukuliwa kama nyama na kupitia uwindaji ya kulipia ya watalii.