Nyumba ya Sanaa
Sisi Tambala Band wataka Vijana kujikita katika Muziki wa Asili
Imechapishwa:
Cheza - 20:30
Sisi Tambala Bendi ni Bendi ya Muziki wa Asili kutoka Tanzania, iliundwa mwaka 1997, tayari imefanya maonesho ya jukwaani katika Nchi Mbalimbali Duniani ikiwa ni pamoja na nchi za Ulaya, Asia na Afrika.Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Kiongozi wa Bendi hiyo Nanjuja Nanjuja pamoja na wasanii wanaounda bendi hiyo katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wakizungumzia Mfanikio yao kimuziki.